A cabeleira multilingüe

 

Félicien Ileka Gene | Swahili

Nywele
(Vipande)

Mimi nimezaliwa penyi mwisho wa dunia katika nchi rangi ya kijani iliotangatanga nyuma ya makundi ya ng’ombe.
Mimi ni mtoto bila hakika wa makabila yenye mwendo uliyosimama tu wakati dunia yao ilipokwisha.
Sina mizizi mengine ila tu yale ya kuzaliwa wala tabia lingine la taifa ila lile la upepo.
Mimi ni wa ukoo wa wale watu wanaohama wenye kamwe hawakutunga serikali.
Moyo wetu ulijua shimo kubwa na maana ya udongo ya mazingira ya asili.
Hadisi yetu ni ile ya wale watu waliopotelea kaskazini na wamefanana na ng’ombe.
Lakini mimi niliokoa kaskazini katika ajali nikitiririka kwa tamaa kutoka nywele ya mwezi.
Zile nywele nyingi ni zingile ninapozungumza tu na mtu ninayempenda.


(Utafsiri katika kiswahili wa Félicien Ileka Gene)